Kuhusu tovuti hii

Kitendawili? Tega!

Lengo la tovuti hii ni kuchochea hulka ya vitendawili vya Kiswahili. Inaratibiwa na mimi, Ben Taylor aka mtega.

Blog yangu ni mtega.com, ambapo naandika kwa Kiingereza juu ya masuala ya maendeleo, siasa, tasnia ya habari na Tanzania kwa ujumla. Nipo Twitter pia: @mtega.

Kikazi, nimeajiliwa kama consultant ya shirika la Twaweza, lakini blog yangu pamoja na tovuti hii ni miradi yangu binafsi, si kazi za Twaweza.

Unaweza kuwasiliana na mimi kupitia fomu hii, hasa ukiwa na kitendawili chako cha kutega wasomaji wengine. Tuwasiliane.