Huu ni mwezi wa ngapi?

Sasa nawaletea kitendawili rahisi alichokitunga mtaalam maarufu wa vitendawili, yaani Martin Gardner. Nimekibadilisha kidogo kwa ajili yenu. Swali ni rahisi tu: ni mwezi gani unaoashiriwa

Read more

Sayari ya maneno

Je, unaweza kutengeneza sentensi kamili (ya Kiswahili) kwa kutumia herufi zilizopo kwenye sayari hapo chini? Lazima uanze na “H” iliyopo chini kabisa ya sayari, na utumie njia inayopitia

Read more